Kishona
Kishona ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe inayozungumzwa na Washona. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kishona nchini Zimbabwe imehesabiwa kuwa watu 10,700,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Zambia, Malawi, Botswana na Afrika Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kishona iko katika kundi la S10.
Viungo vya nje
- lugha ya Kishona kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kishona
- lugha ya Kishona katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sna
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kishona kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz