Konklevu
Konklevu (kutoka Kilatini "cum clave", yaani "kwa ufunguo", kupitia Kiingereza "conclave") ni mkutano maalumu ya makardinali wote wenye umri chini ya miaka 80 unaofanyika ili kumchagua askofu wa Roma, maarufu kama Papa wa Kanisa Katoliki.
Lengo la kujifungia ndani tangu karne za kati ni kuzuia makardinali wasiingiliwe na watu wa nje, hasa watawala, ambao wanaweza kuwa na malengo tofauti na yale ya kiroho.
Kwa sasa kuna taratibu nyingi zilizopangwa kinaganaga, ambazo mojawapo ni kwamba wapigakura wasizidi 120.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Konklevu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz