Maria Elizabeti Hesselblad
Maria Elizabeti Hesselblad (Fåglavik, Uswidi, 4 Juni 1870 – Roma, Italia, 24 Aprili 1957) alikuwa Mkristo wa Kilutheri[1] aliyejiunga na Kanisa Katoliki huko Marekani alipoishi miaka 14 kwa masomo na kazi ya unesi [2][3], halafu akaanzisha upya shirika la Mwokozi Mtakatifu (Wabirgita), akijitosa hasa katika sala, huduma kwa maskini na kuhimiza umoja wa Kanisa[4].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 9 Aprili 2000, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 5 Juni 2016[5][6].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
- Agneta af Jochnick Östborn: For Sweden, I have given God my life! Elisabeth Hesselblads calling and Birgittine mission in Sweden, Artos, Skellefteå 1999.
- Called to Holiness: Blessed Elizabeth Hasselblad, Catholica, Vejbystrand 2000.
- Lars Cavallin: "Mother Mary Elisabeth Hesselblad OSsS from Fåglavik – pioneer of modern monastic life in Sweden" in Johnny Hagberg (editor): Monasteries and Monastic Life in the Medieval Diocese of Skara, Skara County Historical Society 2007.
- Marguerite Tjäder: Mutter Elisabeth – Die neue Blüte des Ordens saints Birgitta . EOS-Verlag, Sankt Ottilien 2002, ISBN|3-8306-7116-4.
- J. Berdonces, Hesselblad, Maria Elisabeth, in Dictionary of the institutes of perfection, vol. IV, Pauline Editions, Milan, 1977, coll. From 1530 to 1531.
Viungo vya nje
- Bridgettine Sisters Archived 26 Desemba 2016 at the Wayback Machine., Maryvale Institute. Accessed 19 December 2015.
- Elizabeth Hesselblad – her activity to save Jews' lives during the Holocaust, at Yad Vashem website
- Hagiography Circle
- Saints SQPN
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz