Mkorosho
Mkorosho (Anacardium occidentale) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mkorosho | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mkorosho, pia mbibo au mkanju (Anacardium occidentale), ni mti unaozaa korosho, moja baina ya jozi za kulika zinazopendwa kabisa. Kokwa haimo ndani ya tunda lakini inaambata chini lake. Matunda yanaitwa mabibo au makanju pia.
Picha
- Maua
- Makanju
- Korosho zilizokaangwa
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkorosho kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz