Molibdeni


Molibdeni (kutoka kigiriki molybdos metali ya risasi) ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 42 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 95.94. Rangi ya metali tupu ni nyeupe-kifedha.

Molibdeni (Molybdenum)
Jina la ElementiMolibdeni (Molybdenum)
AlamaMo
Namba atomia107
Mfululizo safumetali ya mpito
Uzani atomia 262,1229 u
Valensi2, 8, 18, 13, 1
Densiti10.28 g/cm³
Ugumu (Mohs)5.5
Kiwango cha kuyeyuka2896 K (2623 °C)
Kiwango cha kuchemka4912 K (4639 °C)
Asilimia za ganda la dunia1 · 10−3 %
Hali maada mango
MengineyoPoloni ni nururifu; nusumaisha ya isotopi zake ni kati ya mikrosekondi hadi miaka 103

Ni metali imara na ngumu na kiwango cha kuyeyuka ni juu sana. Kwa sababu hiyo hutumiwa katika aloi za feleji inayotakiwa kuwa na nguvu sana.

Punje za Molibdeni tupu.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Molibdeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.