Novak Djokovich

Novak Djokovich (22 Mei 1987, Belgrad; Kiserbia: Новак Ђоковић, Novak Đoković) ni mchezaji wa tenisi kutoka Serbia. Alishinda mashindano matano ya Grand Slam. Mwaka 2012 Djokovich alikuwa mchezaji bora duniani kwenye orodha ya ATP.[1]

Novak Djokovich
Novak Djokovich 2011
Novak Djokovich 2011
Alizaliwa22 Mei 1987 Serbia
Kazi yakemichezo - tenisi


Grand Slam

  • Australia open: Mshindi 2008, 2011, 2012, 2013.
  • Ufaransa open: Fainali 2012, 2014.
  • Wimbledon: Mshindi 2011, 2014.
  • Marekani open: Mshindi 2011.

Picha nyumba ya sanaa

Marejeo

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons