Papa Eusebius

Papa Eusebius alikuwa Papa kwa miezi minne tu, kuanzia tarehe 18 Aprili 309 hadi tarehe 17 Agosti 309[1]. Alitokea Ugiriki.

Papa Eusebius

Papa Eusebius.
Feast

Alimfuata Papa Marcellus I akafuatwa na Papa Miltiades.

Kulipotokea fujo miongoni mwa Wakristo wa mji wa Roma kuhusu malipizi ya kufanywa na waliowahi kuasi[2][3], Eusebius alifungwa na Kaisari Maxentius akafariki mapema uhamishoni[4] katika kisiwa cha Sicilia[5] .

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[6].

Tazama pia

Maandishi yake

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eusebius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.