Teresa Couderc
Tereza Couderc (jina la kuzaliwa: Maria Viktoria; Mas de Sablieres, Ufaransa, 1 Februari 1805 – Fourvieres, Ufaransa, 26 Septemba 1885) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki ambaye alianzisha shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Mafungo.
Aliongoza shirika hadi alipoondolewa madarakani na watu waliompinga (1838). Hapo alishika utiifu kikamilifu[1].
Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Novemba 1951 halafu Papa Paulo VI alimtangaza mtakatifu tarehe 10 Mei 1970.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
- Paule de Lassus, rc, "Thérèse Couderc, 1805-1885: la femme - la sainte" (Lyon: Lescuyer,1985)
- K. Stogdon, "Expressions of Self-surrender in 19th-century France: The Case of Therese Couderc (1805-1885)," in Laurence Lux-Sterritt and Carmen Mangion (eds), Gender, Catholicism and Spirituality: Women and the Roman Catholic Church in Britain and Europe, 1200-1900 (Basingstoke, Palgrave Macmillan, 2011),
- Saint Thérèse Couderc / Šv. Teresė Kudirka. (Livre). R.S. Butautas-Kudirka. Publisher Gediminas p. 210. Vilnius. 2015. ISBN 978-9955-806-08-0
Viungo vya nje
- Cenacle Sisters
- Hagiography Circle
- Saints SQPN
- Writings of Saint Therese Couderc Archived 28 Januari 2022 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz