Uwanja wa Wembley
Uwanja wa Wembley ni uwanja wa taifa wa mpira wa miguu huko Wembley, London, Uingereza.
Uwanja mpya ulifunguliwa mwaka 2007 mahali pa uwanja wa awali uliobomolewa mwaka 2002-2003.
Humo zinafanyika mechi kubwa za mpira wa miguu zikiwa ni pamoja na mechi za nyumbani za timu ya taifa ya Uingereza na fainali ya Kombe la FA.
Pia ni uwanja wa muda wa klabu ya soka ya Ligi Kuu ya Tottenham Hotspur huku uwanja wake White Hart Lane ukijengwa upya.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Wembley kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz