Albert Lutuli
Albert Lutuli[1] (takriban 1898 – 21 Julai, 1967) alikuwa mwalimu na mwanasiasa kutoka nchi ya Afrika Kusini.
Alikuwa kiongozi wa ANC kuanzia mwaka 1952 hadi kifo chake mwaka 1967.
Mwaka wa 1960 alishinda Tuzo ya Nobel ya Amani kwa ajili ya kutokutumia nguvu katika kupinga apartheid.
Huangaliwa kama mtakatifu katika Kanisa Anglikana la Marekani.
Sikukuu yake ni tarehe 21 Julai, siku ya kifo chake.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- ANC's Lutuli Page Archived 26 Aprili 2015 at the Wayback Machine.
- Nobel Committee information on Lutuli Archived 3 Agosti 2004 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albert Lutuli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz