Fearless

Fearless ni albamu ya pili ya msanii wa muziki wa country-pop wa Kimarekani, Taylor Swift. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008 kupitia studio ya Big Machine Records. Albamu ilianza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. Albamu iliuza kopi 592,304 katika wiki ya kwanza, na kuifanya iwe albamu iliyouza vizuri katika wiki ya kwanza kwa mwaka wa 2008 kwa msanii wa kike.

Fearless
Fearless Cover
Studio album ya Taylor Swift
Imetolewa 11 Novemba 2008
(see Historia ya kutolewa)
Aina Country pop
Urefu 53:41
Lebo Big Machine na Universal Music Group
Mtayarishaji Scott Borchetta (exec.), Nathan Chapman, Taylor Swift
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Taylor Swift
Beautiful Eyes
(2008)
Fearless
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya Fearless
  1. "Love Story"
    Imetolewa: Septemba 16, 2008 (2008-09-16)
  2. "White Horse"
    Imetolewa: Desemba 9, 2008 (2008-12-09)
  3. "You Belong with Me"
    Imetolewa: Aprili 21, 2009 (2009-04-21)
  4. "Fifteen"
    Imetolewa: Septemba 1, 2009 (2009-09-01)[1]


Fearless imekuwa albamu ya kwanza kuuza kopi milioni kwa mwaka wa 2009,[2] kwa kuuza kopi 1,608,000+ tangu kuanzia tar. 1 ya mwezi wa Januari.[3]Albamu imetayarisha viabao vikali vinne ambavyo vyote vimeingia katika kumi bora - "Change" (#10), "Love Story" (#4), "Fearless" (#9) na "You Belong with Me" (#2). Albamu pia imetayarisha vibao vikali sita ambavyo navyo vimeingia kwenye 20 bora. Vibao hivyo ni pamoja na "You're Not Sorry" (#11) na "White Horse" (#13). Single ya tatu, "You Belong with Me", umekuwa wimbo mashuhuri sana katika kazi za Swift, kwa kupata mafanikio nchini na nje ya nchi.

Orodha ya nyimbo

  1. "Fearless" (Taylor Swift, Liz Rose, Hillary Lindsey) — 4:01
  2. "Fifteen" (Swift) — 4:54
  3. "Love Story" (Swift) — 3:55
  4. "Hey Stephen" (Swift, Artie Garr) — 4:14
  5. "White Horse" (Swift, Rose) — 3:54
  6. "You Belong with Me" (Swift, Rose) — 3:51
  7. "Breathe" (akimshirikisha Colbie Caillat*) (Swift, Colbie Caillat) — 4:23
  8. "Tell Me Why" (Swift, Rose) — 3:20
  9. "You're Not Sorry" (Swift) — 4:22
  10. "The Way I Loved You" (Swift, John Rich) — 4:04
  11. "Forever & Always" (Swift) — 3:45
  12. "The Best Day" (Swift) — 4:05
  13. "Change" (Swift) — 4:40

Meingine Yaliyo-ongezewa

  1. "Love Story Music Video
  2. "Change Music Video

Toleo Jipya la Nyimbo (Fearless Platinum Edition)[4]
Nyimbo 13 kutoka katika toleo la kawaida jumlisha:

  1. "Jump Then Fall"
  2. "Untouchable"
  3. "Forever & Always (Piano Version)"
  4. "Come In With the Rain"
  5. "SuperStar"
  6. "The Other Side of the Door"

| width="50%" align="left" valign="top" |Nyimbo za ziada za kimataifa

  1. "Our Song" (International Version) — 3:24
  2. "Teardrops on My Guitar" (International Version) — 3:10
  3. "Should've Said No" (International Version) — 4:06

Nyimbo za ziada za Japani[5]

  1. "Beautiful Eyes" (Swift)
  2. "Picture to Burn" (Swift, Rose) — 2:57
  3. "I'm Only Me When I'm with You" (Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo)
  4. "I Heart ?" (Swift)

iTunes ya UK na nyimbo zake za ziada[6]

  1. "Umbrella" (Live from SoHo) — 1:31
  2. "A Place In This World" (Live from SoHo) - 3:26
  3. Video Interview Piece — 2:59

Nyimbo za DVD

  1. "Exclusive! Watch the Recording Session of "Change"
  2. "Exclusive! In the Studio with Taylor Swift and Colbie Caillat Recording "Breathe"

|}

Nafasi za chati

Albamu ilishika chati za Billboard 200 katika Marekani kwa takriban wiki 44 (Novemba 2008 - 17 Septemba 2009). Katika wiki hizo mfululizo ilikaa katika nafasi ya 12, kwa sasa ipo nafasi ya #10.

Chati (2008/2009)Nafasi
iliyoshika
MatunukioJumla ya mauzo
Australian ARIA Albums Chart[7]23x Platinum[8]210,000+[8]
Australian Country Chart[9]1
Belgian Albums Chart (Flanders)1255,000
Canadian Albums Chart13x Platinum[10]320,000+
Canadian Top Country Albums1
Dutch Albums Chart[11]1025,000
German Albums Chart640,000
Greek International Albums Chart[12]1135,000
Irish Albums Chart240,000
Oricon Albums Chart (Japan)4120,000
Polish Albums Chart1325,000
Mexican Albums Chart[13]950,000
New Zealand Albums Chart14x Platinum65,000+[14]
Norwegian Albums Chart[11]3Platinum [15]30,000+[16]
Spanish Album Chart1115,000
U.S. Billboard 200[17]14x Platinum (Not Yet Certified)4,050,725+[18][19]
UK Albums Chart2Gold[20]100,000+[21]
Swedish Albums Chart515,000

Historia ya kutolewa

NchiTarehe
Marekani11 Novemba 2008
Kanada
Australia15 Novemba 2008
Australia (Limited Edition)27 Februari 2009
Ireland6 Machi 2009
Italia[22]
Taiwan
Uingereza8 Machi 2009
Philippines
India[23] Indian EditionMachi 2009
New Zealand9 Machi 2009
Urusi9 Machi 2009
Sweden11 Machi 2009
Ubelgiji
Mexiko17 Machi 2009
Ulaya20 Machi 2009
Brazil31 Machi 2009
Hispania
Ujerumani15 Mei 2009
Japani24 Juni 2009
Ufaransa[24]20 Julai 2009

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fearless kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.