Indi


Indi ni elementi. Namba atomia yake ni 49 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 114.818. Jina limepatikana kutoka kwa rangi ya indigo au buluu ya Kihindi katika taswirangi yake.

Indi (Indium)
Waya ya Indi
Waya ya Indi
Jina la ElementiIndi (Indium)
AlamaIn
Namba atomia49
Mfululizo safuMetali
Uzani atomia 114.818
Valensi2, 8, 18, 18, 3
Densiti7.31 g/cm³
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka429.75 K (156.60 °C)
Kiwango cha kuchemka2345 K (2072 °C)
Asilimia za ganda la dunia1 · 10-5 %
Hali maada mango
MengineyoIsotopi ya kawaida ina kiwango kidogi cha unururifu

Ni metali haba na laini yenye rangi ya kifedha-nyeupe.

Hupatikana hasa katika mitapo za zinki.

Indi ina matumizi mengi ila tu kutokana na uhaba wake hutumiwa zaidi katika kampaundi si metali tupu. Siku hizi sehemu kubwa hutumiwa kwa umbo la oksidi ya indi katika skrini nyembamba za kompyuta na televisheni. Matumizi mengine ni ya kilainishaji ndani ya mashine.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Indi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.