Jukumu la kijinsia

Jukumu la kijinsia ni dhana inayotumika au inayoonyesha mgawanyo wa majukumu kati ya mwanaume na mwanamke katika jamii. Kimsingi inaelezea kazi zinazofanywa kutokana na jinsia. Pia inajumuisha tabia na mitazamo ambayo kwa ujumla inachukuliwa kama inakubalika, inafaa, au inahitajika kwa mtu kulingana na jinsia yake. [1][2][3]

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jukumu la kijinsia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.