Kinewar
Kinewar ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wanewar. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinewar nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 847,000. Pia kuna wasemaji 14,000 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinewar iko katika kundi la Kihimalayan.
Viungo vya nje
- lugha ya Kinewar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinewar Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinewar katika Glottolog
- lugha ya Kinewar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinewar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz