Manganisi


Manganisi ni elementi na metali yenye namba atomia 25 na alama Mn katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali kechu yenye rangi kifedha-nyeupe inayopatikana katika madini hasa pamoja na chuma na kampaundi mbalimbali.

Manganisi
Manganisi
Manganisi
Jina la ElementiManganisi
AlamaMn
Namba atomia25
Mfululizo safuMetali
Uzani atomia 54.938
Valensi2, 8, 15
Densiti7.21 g/cm³
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka1519 K (1246 °C)
Kiwango cha kuchemka2334 K (2061 °C)
Asilimia za ganda la dunia0.09 %
Hali maada mango

Hutumiwa sana katika aloi za feleji pia alumini na kuongeza ugumu wa aloi.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manganisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.