Nikola II wa Urusi

Nikola wa II wa Urusi (kwa Kirusi: Николай II Алекса́ндрович, Nikolai II Aleksandrovich; St. Petersburg, Urusi, 18 Mei 1868Yekaterinburg, Urusi, 17 Julai 1918) alikuwa tsar (mtawala wa kifalme au kaisari) wa mwisho wa Urusi (kuanzia tarehe 1 Novemba 1894 hadi alipozalimishwa kujiuzulu tarehe 15 Machi 1917).

Picha halisi ya Mt. Nikola II, mwaka 1909.

Familia yake nzima iliuawa na Wakomunisti. Kwa sababu hiyo wote wanaheshimiwa na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini[1].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

  •  
  •  
  •  
  • Kowner, Rotem (2006). Historical Dictionary of the Russo-Japanese War. ISBN 0-8108-4927-5: The Scarecrow Press. 
  •  
  •  
  •  
  •  

Marejeo mengine

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.