Orodha ya Makamu wa Rais Tanzania

Orodha ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni cheo cha pili kwa ukubwa kisiasa nchini Tanzania.

Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Historia ya walioshika ofisi ni hawa wafuatao:

JinaAmeingia OfisiniAmeondoka Ofisini
Abeid Amani Karume19651972
Mwinyi Aboud Jumbe19721984
Ali Hassan Mwinyi19841985
Joseph Sinde Warioba19851990
John Samuel Malecela19901994
Cleopa David Msuya19941995
Omar Ali Juma19952001
Ali Mohamed Shein20012010
Mohamed Gharib Bilal20102015
Samia Hassan Suluhu20152021
Philip Isdor Mpango2021