Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2005

Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo 4 Desemba 2005. Mapema ulikuwa ulipangiwa kufanyika mnamo 30 Oktoba lakini ukahairishwa kutokana na kifo cha mgombea kiti cha Makamu wa Rais. Uchaguzi huu ulikuwa wa tatu tangu nchi hiyo kurudia mfumo wa vyama vingi mnamo 1992. Pia ulikuwa wa pekee kwa kuwa aliyekuwa rais, Benjamin Mkapa, ambaye alikuwa amehudumu kwa kipindi cha miaka kumi alistaafu kulingana na Katiba. Uchaguzi wa Urais wa Zanzibar na wawakilishi katika jumba la wawakilishi ulifanyika mnamo 30 Oktoba, jinsi ilivyokuwa imepangwa.

Uchaguzi wa mwaka 2005 ulimweka Jakaya Kikwete madarakani.
Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Wagombea Urais

Muungano

Zanzibar

  • Amani Abeid Karume - Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  • Seif Shariff Hamad - Civic United Front (CUF)
  • Haji Mussa Kitole - Jahazi Asilia
  • Abdallah Ali Abdallah - Democratic Party (DP)
  • Mariam Omar - Sauti ya Umma (SAU)
  • Simai Abdulrahman Abdallah - National Reconstruction Alliance (NRA)

Matokeo ya Uchaguzi

Rais wa Muungano

e • d Summary of the 18 December 2005 Tanzanian presidential election results
CandidatesNominating partiesVotes%
Jakaya Mrisho KikweteChama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party)9,123,95280.28
Ibrahim LipumbaChama cha Wananchi (Chama Cha Wananchi)1,327,12511.68
Freeman MboweChama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress)668,7565.88
Augustine Lyatonga MremaTanzania Labour Party84,9010.75
Sengondo MvungiNational Convention for Construction and Reform-Mageuzi55,8190.49
Christopher MtikilaDemocratic Party31,0830.27
Emmanuel MakaidiNational League for Democracy21,5740.19
Anna SenkoroProgressive Party of Tanzania-Maendeleo18,7830.17
Leonard ShayoDemokrasia Makini17,0700.15
Paul Henry KyaraSauti ya Umma16,4140.14
Total Votes11,365,477100.00
Voter Turnout72.4%

Bunge la Muungano

e • d Summary of the 14 December 2005 National Assembly of Tanzania election results
PartiesVotes%Direct
seats
Additional
Women
seats
Total
seats
Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party)7,579,89770.020658264
Chama cha Wananchi (Chama Cha Wananchi)1,551,24314.3191130
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress)888,1338.25611
Tanzania Labour Party297,2302.711
National Convention for Construction and Reform–Mageuzi239,4522.2
United Democratic Party155,8871.411
Others117,6711.2
Members nominated by the Union president10
Representatives of the Zanzibar House of Representatives5
Ex officio members2
Total (turnout 72%)10,829,513100.023275324

Rais wa Zanzibar

MgombeaChamaIdadi ya Kura% ya Kura
Amani Abeid KarumeChama Cha Mapinduzi (CCM)239,83253.18%
Seif Shariff HamadCivic United Front (CUF)207,77346.07%
Haji Mussa KitoleJahazi Asilia2,1100.48%
Abdallah Ali AbdallahDemocratic Party (DP)5090.11%
Simai Abdulrahman AbdallahNational Reconstruction Alliance (NRA)4490.10%
Mariam OmarSauti ya Umma (SAU)3350.07%
Total Votes451,008
Voter Turnout90.8%

Chumba la Wawakilishi, Zanzibar

ChamaIdadi ya viti (50)
Chama Cha Mapinduzi (CCM)30
Civic United Front (CUF)19
Kilichopigwa Marufuku01

Note: Marudio ya uchaguzi kwa kiti ambacho matokeo yake yakituoikiwa mbali yalifanyika mnamo 14 Desemba 2005.

Tazama Pia

Viungo vya nje