Orodha ya vyama vya siasa Tanzania

Mfumo wa vyama vingi ni hali ya kuwa na chama zaidi ya kimoja,katika nchi moja.Madhumuni ya kuwa na vyama vingi vya siasa ni kuleta ushindani wa kisiasa,ili kuleta maendeleo ya nchi,upinzani wa kisiasa sio uadui kama watu wengi kwenye nchi zinazoendelea wanavyodhani,kuwa na vyama vingi ni kuongeza wigo wa demokrasia katika jamii huska.

Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa uliorejeshwa katika katiba ya Tanzania mwaka 1992.

Chama tawala ni

Vyama vingine vya siasa Tanzania ni

Orodha kamili ya vyama vya siasa nchini Tanzania]

#ChamaKifupi chakeKimeanzishwaBungeBWZBAMSADC-PFBUA
1Chama cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi)CCM1977
263
48
7
4
4
2Civic United Front (Chama cha Wananchi)CUF1992
35
33
1
1
3Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)CHADEMA1992
49
0000
4Union for Multiparty DemocracyUMD199300000
5NCCR-Mageuzi (Chama cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa)NCCR-M1992
5
0
1
00
6National League for DemocracyNLD199300000
7Attentive Democracy Party (Demokrasia Makini)MAKINI200100000
8United People's Democratic PartyUPDP199300000
9National Reconstruction AllianceNRA199300000
10Democratic Party (Chama Cha Kidemokrasia)DP200200000
11Tanzania Democratic AllianceTADEA199000000
12Tanzania Labour PartyTLP1993
1
0000
13United Democratic PartyUDP1994
1
0000
14Chama cha Haki na Ustawi (Chama cha Haki na Ustawi)CHAUSTA199800000
15Progressive Party of Tanzania – MaendeleoPPT-MAENDELEO200300000
16People's Voice (Sauti ya Umma)SAU200500000
17Traditional Dhow (Jahazi Asilia)200400000
18Alliance for Tanzanian Farmers Party (Chama Cha Wakulima)AFP200900000
19Social Party (Chama Cha Kijamii)CCK201200000
20Alliance for Democratic Change (Umoja wa Mabadiliko ya Demokrasia)ADC201200000
21Party for People's Redemption (Chama cha Ukombozi wa Umma)CHAUMMA201300000
22Alliance for Change and Transparency (Umoja wa Mabadiliko na Uwazi)ACT201400000