Ziwa la Konstanz
Ziwa la Konstanz (Kijerumani: Bodensee) ni ziwa mpakani mwa Austria, Uswisi na Ujerumani lenye eno la km² 564. Kimo kikubwa cha ziwa hufikia mita 254. Jina la ziwa linatokana na mji mkubwa uliopo kando yake.
Mto Rhine unapita katika ziwa ukiingia upande wa mashariki na kutoka magharibi.
Sehemu kubwa ya mwambao ni upande wa Ujerumani, theluthi moja upande wa Uswisi na sehemu inayobaki upande wa Austria.
Miji muhimu ziwani
Ujerumani
- Konstanz
- Friedrichshafen
- Lindau
Uswisi
- Stein am Rhein
- Kreuzlingen
Austria
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa la Konstanz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz