Amonia
Amonia ni kampaundi ya nitrojeni na hidrojeni yenye fomula NH3. Ni bidhaa muhimu viwandani. Mwaka 2006, uzalishaji duniani ulifika tani milioni 146.5. [1] Ingawa amonia hupatikana sana katika uasilia na hutumika kila mahali, kemikali hii ni caustic na madhara katika fomu yake isiyochujuka. Katika kaya hutumika kusafisha vyombo.
Marejeo
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amonia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz