Daniel Craig

Daniel Wroughton Craig (amezaliwa tar. 2 Machi 1968, Chester, Uingereza) ni mwigizaji filamu anayefahamika zaidi kwa kuigiza kama 'James Bond' katika filamu tatu alizocheza kuanzia mwaka 2005 hadi leo, ambazo ni ''Casino Royale'', ''Quantum of Solace'' na ''Skyfall''.

Daniel Craig

Craig mjini Sydney mnamo 2012
Amezaliwa2 Machi 1968 (1968-03-02) (umri 56)
Uingereza
Kazi yakeMwigizaji
Miaka ya kazi1992 -
NdoaFiona Loudon (1992-1994),
Rachel Weisz (2011-hadi leo)
WatotoElla Craig

Filamu

MwakaFilamuKamaMaelezo
1992Power of OneSgt. Botha, a.k.a. The Judge
1993Between the LinesUndercover Detective
1993HeartbeatPeter Begg
1993ZorroLt. HidalgoVipindi 2
1993Sharpe's EagleLt. Berry
1995Kid in King Arthur's CourtMaster Kane
1996Kiss And TellMatt KearneyFilamu
1996Fortunes and Misfortunes of Moll FlandersJames "Jemmy" SeagraveTamthilia
1996Our Friends in the NorthGeorge "Geordie" PeacockVipindi 8
1997ObsessionJohn McHale
1997The Ice HouseD.S. Andy McLoughlin
1997The Hunger
1998Love Is the Devil: Study for a Portrait of Francis BaconGeorge DyerEdinburgh International Film Festival Award for Best British Performance
1998Love and RageJames Lynchehaun
1998ElizabethJohn Ballard
1999The TrenchSgt. Telford Winter
1999The Adventures of Young Indiana Jones: Daredevils of the DesertSchiller1993
2000Some VoicesRayAlishinda tuzo la British Independent Film Award for Best Actor
2000Hotel SplendideRonald Blanche
2000I Dreamed of AfricaDeclan Fielding
2001Lara Croft: Tomb RaiderAlex West
2001Sword of HonourGuy Crouchback
2002CopenhagenWerner HeisenbergTamthilia
2002Ten Minutes Older: The CelloCecil
2002Road to PerditionConnor Rooney
2003SylviaTed Hughes
2003The MotherDarren
2004Layer CakeMr. X
2004Enduring LoveJoeAlishinda tuzo la London Film Critics Circle Award for British Actor of the Year
2005MunichSteve
2005ArchangelChristopher Kelso
2005FatelessAmerican Soldier
2005The JacketRudy Mackenzie
2006Casino RoyaleJames BondSant Jordi Award for Best Foreign Actor
2006RenaissanceBarthélémy KarasSauti
2006InfamousPerry Smith
2007The Golden CompassLord Asriel
2007The InvasionBen Driscoll
2008Flashbacks of a FoolJoe Scot
2008Quantum of SolaceJames Bond
2008DefianceTuvia Bielski
2011Cowboys & AliensJake Lonergan
2011Dream HouseWill Attenton
2011The Adventures of TintinIvan Ivanovitch Sakharine/Red Rackham
2011The Girl with the Dragon TattooMikael Blomkvist
2012SkyfallJames Bond
2013One LifeNarrator
2015SpectreJames Bond
2015Star Wars: The Force AwakensStormtroopercameo
2017Logan LuckyJoe Bang
2017KingsObie
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Craig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.