Doha
Doha (kwa Kiarabu: الدوحة ad-dawḥah) ni mji mkuu wa Qatar.
Jiji la Doha | |
Nchi | Qatar |
---|
Doha ni mji wa bandari mwambaoni mwa Ghuba ya Uajemi.
Idadi ya watu ni takriban lakhi nne (2005).
Historia
Doha iliundwa mwaka 1850 kwa jina la Al-Bida (mji mweupe).
Tangu kupatikana kwa mafuta ya petroli mji umejengwa upya ukiwa na nyumba kubwa na za kisasa kabisa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Doha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz