Jimbo Katoliki la Pavia
Jimbo Katoliki la Pavia (kwa Kilatini "Papiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote (isipokuwa 3) linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Milano.
Askofu wake ni Corrado Sanguineti.
Uongozi katika karne XX na XXI
- Agostino Gaetano Riboldi † (1877 - 1901
- Francesco Ciceri † (1901 - 1924 deceduto)
- Giuseppe Ballerini † (26 luglio 1924 - 22 giugno 1933)
- Giovanni Battista Girardi † (8 maggio 1934 - 1942)
- Carlo Allorio † (1942 - 1968)
- Antonio Giuseppe Angioni † (1968 - 1986)
- Giovanni Volta † (1986 - 2003)
- Giovanni Giudici (2003 - 2015)
- Corrado Sanguineti, dal 16 novembre 2015
Viungo vya nje
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino