Lady Gaga


Stefani Joanne Angelina Germanotta[6] (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lady Gaga; alizaliwa 28 Machi 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka nchini Marekani.

Lady Gaga
Lady Gaga, mnamo Juni 2015
Lady Gaga, mnamo Juni 2015
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaStefani Joanne Angelina Germanotta
Amezaliwa28 Machi 1986 (1986-03-28) (umri 38)
Asili yakeYonkers, New York, Marekani
Aina ya muzikiPop,[1] dansi, electronic[2]
Kazi yakeMwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, DJ[3]
AlaSauti, synthesizer,[4] piano
Aina ya sautiContralto
Miaka ya kazi2006–hadi leo
StudioDef Jam (2007), Streamline, Kon Live, Interscope, Cherrytree[5]
Tovutiwww.ladygaga.com

Gaga, alizaliwa mjini Yonkers, New York na kukulia mjini Manhattan, ambako alijiunga na shule ya kulipia ya Convent of the Sacred Heart halafu akaenda zake katika Chuo Kikuu cha New York (Tisch School of the Arts).

Akiwa na umri wa miaka 20, alianza kufanya kazi na Interscope Records akiwa kama mtunzi wa nyimbo, akatunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya kundi la muziki wa pop la Pussycat Dolls. Gaga, ana athira kubwa kabisa na wanamuziki wa rock kama vile David Bowie na timu nzima ya bendi ya rock maarufu ya Queen na vilevile waimbaji wa muziki wa pop wa miaka ya 1980 kama vile Madonna na Michael Jackson.

Kuiingia kwake kwenye sanaa kumesababishwa na mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi za muziki maarufu kama Akon, aliyegundua ya kwamba, Gaga, pia ana kipaji cha sauti, na akaingia naye mkataba wa kurekodi kwenye studio yake ya Kon Live Distribution, na kisha baadaye aanze kufanya kazi zake mwenyewe kwa ajili ya albamu yake ya kwanza.

Mnamo mwaka wa 2008, Gaga ametoa albamu yake ya kwanza iitwayo The Fame, ambamo alielezea kwamba "namna gani mtu anavyoweza kujsikia kwa kuwa maarfu". Leo hii, albamu imetoa vibao vyake vikali kadhaa vilivyomaarufu kama vile "Just Dance" na "Poker Face ", ambayo awali ilipewa Tuzo ya Grammy kama wimbo bora wa kudansi - katika ugawaji wa 51 wa Tuzo hizo za Grammy.

Wasifu

Maisha ya awali

Gaga alizaliwa tarehe 20 Machi 1986 mjini Yonkers, New York na baba (kabaila wa mtandao) na mama (mfanyabiashara mwenzi wa baba), ambao wote ni Waitalia.[7][8] Akiwa mtoto, alijiunga na Shule ya Kikatoliki ya Convent of the Sacred Heart.[9] Alianza kujifunza piano kwa kusikia tanguu akiwa na umri wa miaka minne, na akaja kuandika noti zake za piano kwa mara ya kwanza akiwa na umiri wa 13 na akaanza kutumbuiza kwenye matamasha madogomadogo akiwa na umri wa miaka 14.

Akiwa na umri wa miaka kumi na saba, Gaga akawa mmoja kati ya watu ishirini wa dunia nzima kupata elimu ya muziki ya chuo kikuu cha New York cha Tisch School of the Arts. Aliboresha akili zake za kuandika kwa njia ya kuandika insha na ripoti kuhusu mada kama sanaa, dini, na siasa na jamii.[10]

Alitoka katika nyumba aliokuwa akiishi na wazazi wake,[11] na kuanza kujirusha mitaani, huku akiwa ana tumbuiza katika klabu za mitaani kwao na kisha baadaye akawa anafanya kazi na bendi ya Mackin Pulsifer na SGBand. Akajikuta akizungukwa na waimbaji kibao ambao wanaimba staili sawa na ile ya muziki wake yeye anaoimba, na ndipo alipoamua kufanya mtindo mkali kabisa kwa kutumia staili ya rock 'n roll huku kwa mbali anatia muziki wa pop.[12] Baba yake alishtushwa na kitendo cha mwanawe kuzurura mitaani na kujibwaga kwenye mabaa huku akionekana anafanya shoo na baadhi ya machangudoa wala unga na wale wacheza uchi kwenye baa za usiku. "Baba hakuweza kunitazama kwa miezi kadhaa" Gaga alikiri kwa jaribio lake la awali, na kusema: "Nilikuwa kwenye mkia wa mwiba, kwa hiyo ni vigumu kwa yeye — kuelewa yale.

Gaga alipata jina lake la kisanii pale mtayarishaji wa muziki Rob Fusari alipoifananisha staili ya sauti yake na hayati Freddie Mercury na kuchukua jina la 'Gaga' kutoka katika wimbo wa bendi ya Queen wa "Radio Ga-Ga". Fusari ndiyo aliyemsaidia Gaga kutunga vibao vyake vya awali, ambavyo vinajumuisha "Disco Heaven", "Dirty Ice Cream" na "Beautiful, Dirty, Rich".

Muziki

Albamu

Orodha ya almabu, pamoja na nafasi zilizoshika katika nchi tofauti, mauzo na matunukio.
JinaMaelezoNafasi iliyoshika katika nchi tofautiMauzoMatunukio
Marekani
[13]
Australia
[14]
Austria
[15]
Canada
[16]
Ufaransa
[17]
Ujerumani
[18]
Italy
[19]
New Zealand
[20]
Uswisi
[21]
Uingereza
[22]
The Fame
  • Ilitolewa: Oktoba 28, 2008 (Marekani)
  • Lebo: Streamline, Kon Live Distribution, Cherrytree Records, Interscope Records
23112113211
  • Duniani: 15,000,000
    (including The Fame Monster)
  • Marekani: 4,830,000[23]
  • Canada: 476,000[24]
  • Ufaransa: 700,000[25]
  • Uingereza: 2,995,891[26]
  • Marekani: 3× Platinum[27]
  • Australia: 4× Platinum[28]
  • Uingereza: 10× Platinum[29]
  • Ujerumani: 9× Gold[30]
  • Italy: 4× Platinum[31]
  • Austria: 7× Platinum[32]
  • Uswisi: 4× Platinum[33]
  • Canada: 7× Platinum[34]
  • New Zealand: 5× Platinum[35]
  • Ufaransa: Diamond[36]
Born This Way
  • Ilitolewa: Mei 23, 2011 (Marekani)
  • Lebo: Streamline, Interscope, Kon Live
1111111111
  • Duniani: 6,000,000
  • Marekani: 2,430,000[23]
  • Canada: 93,000[37]
  • Ufaransa: 190,000[38]
  • Uingereza: 989,000[39]
  • RIAA: 2× Platinum[27]
  • ARIA: 2× Platinum[40]
  • BPI: 3× Platinum[29]
  • BVMI: Platinum[30]
  • FIMI: Platinum[31]
  • IFPI AUT: Platinum[32]
  • IFPI SWI: Platinum[33]
  • MC: 4× Platinum[34]
  • RMNZ: Platinum[35]
  • SNEP: 2× Platinum[36]
Artpop
  • Ilitolewa: Novemba 11, 2013 (Marekani)
  • Lebo: Streamline, Interscope
1213332221
  • Duniani: 2,500,000[41]
  • Marekani: 781,000[42]
  • Ufaransa: 60,000[43]
  • Uingereza: 207,243[44]
Cheek to Cheek
(pamoja na Tony Bennett)
  • Ilitolewa: Septemba 23, 2014 (Marekani)
  • Lebo: Streamline, Interscope, Columbia
176391263710
  • Duniani: 1,000,000[45]
  • Marekani: 773,000[42]
  • Ufaransa: 40,000[46]
Joanne
  • Released: October 21, 2016
  • Label: Streamline, Interscope
  • Formats: CD, digital download, LP
1292962233
  • Duniani: 1,000,000[48]
  • Marekani: 649,000[42]
  • Ufaransa: 20,000[49]
  • Uingereza: 143,315[26]

Nyimbo

Orodha ya nyimbo, pamoja na nafasi zilizoshika katika nchi tofauti, na matunukio.
NyimboMwakaNafasi iliyoshika katika nchi tofautiMatunukioAlbamu
Marekani
[50]
Australia
[14]
Austria
[15]
Canada
[51]
Ufaransa
[17]
Ujerumani
[18]
Italy
[19]
New Zealand
[20]
Uswisi
[21]
Uingereza
[52]
"Just Dance"
(pamoja na Colby O'Donis)
20081181141036381The Fame
"Poker Face"1111112111
  • RIAA: Diamond[53]
  • ARIA: 6× Platinum[54]
  • BPI: 2× Platinum[29]
  • BVMI: 3× Platinum[30]
  • FIMI: 2× Platinum[31]
  • IFPI AUT: Gold[32]
  • IFPI SWI: 3× Platinum[33]
  • MC: 8× Platinum[34]
  • RMNZ: 2× Platinum[55]
"Eh, Eh (Nothing Else I Can Say)"2009156879
"LoveGame"546257121519
"Paparazzi"6233613544
"Bad Romance"2211111221
  • RIAA: 11× Platinum[53]
  • ARIA: 4× Platinum[56]
  • BPI: 2× Platinum[29]
  • BVMI: 3× Gold[30]
  • FIMI: 2× Platinum[31]
  • IFPI SWI: Platinum[33]
  • MC: 7× Platinum[34]
  • RMNZ: 2× Platinum[55]
  • SNEP: Platinum[57]
The Fame Monster
"Telephone"
(pamoja na Beyoncé)
20103333332341
"Alejandro"52243221137
"Dance in the Dark"[59]248889
"Born This Way"20111111212113Born This Way
"Judas"1066872331288
"The Edge of Glory"32337323106
"You and I"61481098211953223
"The Lady Is a Tramp"
(pamoja na Tony Bennett)
[61]50188Duets II
"Marry the Night"298813115017423416Born This Way
"Applause"201341164352775Artpop
"Do What U Want"
(pamoja na R. Kelly)
1321103814312149
"G.U.Y."201476889298115
"Anything Goes"
(pamoja na Tony Bennett)
17865174Cheek to Cheek
"I Can't Give You Anything but Love"
(pamoja na Tony Bennett)
17376
"Til It Happens to You"2015954646171Non-album single
"Perfect Illusion"2016151421171315311612Joanne
"Million Reasons"4345216298512[65]739
"The Cure"2017391037331085736[66]4119Non-album single
"Joanne"190154Joanne
"Shallow"
(pamoja na Bradley Cooper)
20181111342111
  • RIAA: Platinum[53]
  • ARIA: 3× Platinum[67]
  • BPI: Platinum[29]
  • FIMI: 2× Platinum[31]
  • IFPI AUT: Platinum[32]
  • MC: 2× Platinum[34]
  • RMNZ: 2× Platinum[68]
  • SNEP: Platinum[57]
A Star Is Born
"Always Remember Us This Way"4112252618844114825
"The Fame"200873The Fame
"Starstruck"
(pamoja na Space Cowboy & Flo Rida)
74191
"Big Girl Now"
(New Kids on the Block pamoja na Lady Gaga)
84The Block
"Video Phone (Extended Remix)"
(Beyoncé pamoja na Lady Gaga)
200965313258I Am... Sasha Fierce
"Monster"802968The Fame Monster
"Speechless"946788
"So Happy I Could Die"5384
"Teeth"107
"Poker Face / Speechless / Your Song"
(pamoja na Elton John)
201094Non-album song
"Scheiße"2011136Born This Way
"Black Jesus + Amen Fashion"172
"Fashion of His Love"140
"The Queen"150
"White Christmas"87A Very Gaga Holiday
"Artpop"2013185Artpop
"Diamond Heart"2016155Joanne
"John Wayne"180
"Dancin' in Circles"186
"Angel Down"152
"Music to My Eyes"
(pamoja na Bradley Cooper)
2018[70]}}[71]}}A Star Is Born
"Look What I Found"95
"Is That Alright?"639685[72]}}
"I'll Never Love Again"361543611061471427

Tuzo

AACTA Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019A Star Is BornAACTA International Award for Best ActressAliteuliwa[74]

Academy Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2016"Til It Happens to You"Academy Award for Best Original SongAliteuliwa[75]
2019"Shallow"Ameshinda[76]
A Star Is BornAcademy Award for Best ActressAliteuliwa

ADL Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015Lady GagaMaking a Difference AwardAmeshinda[77]

Alliance of Women Film Journalists

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoRef.
2018A Star Is BornBest ActressAliteuliwa[78]

American Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaAmerican Music Award for Artist of the YearAliteuliwa[79]
American Music Award for New Artist of the YearAliteuliwa
American Music Award for Favorite Pop/Rock Female ArtistAliteuliwa
The FameAmerican Music Award for Favorite Pop/Rock AlbumAliteuliwa
2010Lady GagaArtist of the YearAliteuliwa[80]
Favorite Pop/Rock Female ArtistAmeshinda
2011Artist of the YearAliteuliwa[81]
Favorite Pop/Rock Female ArtistAliteuliwa
Born This WayFavorite Pop/Rock AlbumAliteuliwa
2017Lady GagaFavorite Pop/Rock Female ArtistAmeshinda[82]

ARIA Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaMost Popular International ArtistAliteuliwa[83]
2011Aliteuliwa[84]

Bambi Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaInternational Pop ArtistAmeshinda[85]

BET Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010"Video Phone" (pamoja na Beyoncé)BET Award for Video of the YearAmeshinda[86]
BET Award for Best CollaborationAliteuliwa
2011Lady GagaFANdemonium AwardAliteuliwa[87]

Billboard Japan Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011"Born This Way"Billboard Japan Adult Contemporary of the YearAmeshinda[88]
Billboard Japan Digital and Overseas Airplay of the YearAmeshinda

Billboard Latin Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaCrossover Artist of the Year (Solo)Ameshinda[89]
Crossover Artist of the YearAliteuliwa
2011Aliteuliwa[90]
[91]
Hot Latin Songs — Female Artist of the YearAliteuliwa

Billboard.com Mid-Year Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaFirst-half MVPAliteuliwa[92]
Best DressedAmeshinda
"Born This Way"Favorite Hot 100 No.1 SongAliteuliwa
Born This WayFavorite Billboard 200 No.1 AlbumAliteuliwa
"Judas"Best Music VideoAliteuliwa
Radio 1's Big WeekendBest Festival PerformanceAmeshinda
The Monster Ball TourBest TourAliteuliwa
2012Madonna vs. Lady GagaMost Memorable FeudAmeshinda[93]
Born This Way BallMost Anticipated Event of 2012's Second HalfAliteuliwa
2013New Music From Lady GagaMost Anticipated Event of 2013's Second HalfAliteuliwa[94]
Lady Gaga Cancels Tour DatesMost DisappointingAmeshinda
2014"G.U.Y."Best Music VideoAliteuliwa[95]
Lady Gaga's paint-vomiting South by Southwest performanceMost Buzzed-About MomentAmeshinda
ArtRave: The Artpop BallBest TourAmeshinda
2015Lady Gaga & Taylor KinneyHottest CoupleAliteuliwa[96]
Cheek to Cheek TourBest TourAliteuliwa
Lady Gaga at the Academy AwardsBest Televised PerformanceAliteuliwa

Billboard Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoRef.
2011Lady GagaBillboard Music Award for Top ArtistAliteuliwa[97]
Billboard Music Award for Top Female ArtistAliteuliwa
Billboard Music Award for Top Touring ArtistAliteuliwa
Billboard Music Award for Top Social ArtistAliteuliwa
Billboard Music Award for Top Streaming ArtistAliteuliwa
Top Digital Media ArtistAliteuliwa
Top Pop ArtistAmeshinda
Top Dance ArtistAmeshinda
Fan Favorite AwardAliteuliwa
The FameTop Pop AlbumAliteuliwa
Billboard Music Award for Top Dance/Electronic AlbumAmeshinda
The Fame MonsterAliteuliwa
The RemixAliteuliwa
"Bad Romance"Billboard Music Award for Top Streaming SongAliteuliwa
Billboard Music Award for Top Dance/Electronic SongAliteuliwa
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Aliteuliwa
2012Lady GagaTop ArtistAliteuliwa[98]
[99]
Top Female ArtistAliteuliwa
Billboard Music Award for Top Billboard 200 ArtistAliteuliwa
Top Social ArtistAliteuliwa
Top Digital Media ArtistAliteuliwa
Top Pop ArtistAliteuliwa
Most Influential ArtistAmeshinda
Best Fashion ArtistAmeshinda
Top Dance ArtistAmeshinda
Born This WayBillboard Music Award for Top Billboard 200 AlbumAliteuliwa
Top Pop AlbumAliteuliwa
Top Electronic/Dance AlbumAmeshinda
The FameAliteuliwa
2013Lady GagaTop Touring ArtistAliteuliwa[100]
2014Top Dance/Electronic ArtistAliteuliwa[101]
ArtpopTop Dance/Electronic AlbumAliteuliwa
"Applause"Top Dance/Electronic SongAliteuliwa
2015Lady GagaTop Touring ArtistAliteuliwa[102]
2019Billboard Music Award for Top Song Sales Artist[103]
Lady Gaga (pamoja na Bradley Cooper)Billboard Music Award for Chart Achievement
A Star Is Born (pamoja na Bradley Cooper)Billboard Music Award for Top Soundtrack
"Shallow" (pamoja na Bradley Cooper)Billboard Music Award for Top Selling Song

Billboard Touring Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010The Monster BallBreakthrough AwardAmeshinda[104]
[105]
Concert Marketing & Promotion AwardAmeshinda
2012Born This Way BallEventful Fans' Choice AwardAmeshinda[106]
2017Joanne World TourConcert Marketing & Promotion AwardAliteuliwa[107]

Billboard Women in Music

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBillboard Women in Music#Rising Star AwardAmeshinda[108]
2015Billboard Woman of the Year AwardAmeshinda[109]

BMI Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010"Just Dance" (pamoja na Colby O'Donis)Award-Winning SongsAmeshinda[110]
[111]
Poker Face"Award-Winning SongsAmeshinda
"LoveGame"Award-Winning SongsAmeshinda
2011Lady GagaBMI Songwriters of the YearAmeshinda[112]
"Paparazzi"Award-Winning SongsAmeshinda
Publisher of the YearAmeshinda
"Bad Romance"Award-Winning SongsAmeshinda
Publisher of the YearAmeshinda
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Award-Winning SongsAmeshinda
Publisher of the YearAmeshinda
"Alejandro"Award-Winning SongsAmeshinda
Publisher of the YearAmeshinda
2012"Born This Way"Award-Winning SongsAmeshinda[113]
"The Edge Of Glory"Award-Winning SongsAmeshinda
2013"You and I"Award-Winning SongsAmeshinda[114]
2015"Applause"Award-Winning SongsAmeshinda[115]
Publisher of the YearAmeshinda
"Do What U Want" (pamoja na R. Kelly)Award-Winning SongsAmeshinda
Publisher of the YearAmeshinda
2018"Million Reasons"Award-Winning SongsAmeshinda[116]
Publisher of the YearAmeshinda

Brit Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaBrit Award for International Breakthrough ActAmeshinda[117]
Brit Award for International Female Solo ArtistAmeshinda
The FameBrit Award for International AlbumAmeshinda
2012Lady GagaInternational Female Solo ArtistAliteuliwa[118]
2014Aliteuliwa[119]

British Academy Film Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019A Star Is BornBAFTA Award for Best Actress in a Leading RoleAliteuliwa[120]
BAFTA Award for Best Film MusicAmeshinda

British LGBT Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2017Lady GagaLGBT+ CelebritiesAliteuliwa[121]

BT Digital Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaBest International ArtistAmeshinda[122]
[123]

Canadian Fragrance Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2013FameCustomers ChoiceAmeshinda[124]

Capri Hollywood International Film Festival

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoRef.
2019"Shallow"Best Original SongAmeshinda[125]

CFDA Fashion Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaFashion Icon AwardAmeshinda[126]

Channel [V] Thailand Music Video Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaInternational ArtistAmeshinda[127]
International New ArtistAliteuliwa
"Poker Face"International Music VideoAmeshinda

Chicago Film Critics Association

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornChicago Film Critics Association Award for Best ActressAliteuliwarowspan="2" style="text-align:center
Most Promising PerformerAliteuliwa

Clio Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2012Lady GagaShort List (Music-Licensed)Aliteuliwa[128]
2014GagadollBronze Winner (Experiential)Ameshinda[129]
Short List (Ambient)Aliteuliwa[130]
2016The Lady Gaga + Intel PerformanceGold Winner (Innovation)Ameshinda[131]
Gold Winner (Partnerships)Ameshinda[132]
Silver Winner (Stage Design)Ameshinda[133]
Bronze Winner (Innovation Medium)Ameshinda[134]
Short List (Events/Experiential)Aliteuliwa[135]
2017Intel Drones x Super Bowl Halftime Show With Lady GagaGold Winner (Partnerships & Collaborations)Ameshinda[136]
Sliver Winner (Event/Experiential)Ameshinda[137]
Bronze Winner (Brand Partnerships & Collaborations)Ameshinda[138]
"John Wayne"Silver WinnerAmeshinda[139]

Columbus Citizens Foundation

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015Lady Gaga and Cynthia GermanottaHumanitarian AwardAmeshinda[140]

Critics' Choice Movie Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2012"Hello Hello"Broadcast Film Critics Association Award for Best SongAliteuliwa[141]
2016"Til It Happens to You"Aliteuliwa[142]
2019"Shallow"Ameshinda[143]
A Star Is BornCritics' Choice Movie Award for Best ActressAmeshinda

Detroit Film Critics Society

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornDetroit Film Critics Society Award for Best ActressAliteuliwa[144]
Breakthrough PerformanceAliteuliwa

Do Something! Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoRef.
2010Lady GagaBest Music ArtistAliteuliwa[145]
2011Aliteuliwa[146]
Do Something FacebookAmeshinda
"Born This Way"Best Charity SongAliteuliwa
2012Lady GagaDo Something TwitterAliteuliwa[147]

Dorian Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady Gaga Presents the Monster Ball Tour: At Madison Square GardenTV Musical Program of the YearAmeshinda[148]
A Very Gaga ThanksgivingAliteuliwa
2015"The Sound of Music 50th anniversary tribute"TV Musical Performance of the YearAliteuliwa[149]
2016"Til It Happens to You"Aliteuliwa[150]
2017"God Bless America", "Born This Way" kwenye Super Bowl LIAliteuliwa[151]
2018A Star Is BornFilm Performance of the Year — ActressAliteuliwa[152]
Lady GagaWilde Artist of the YearAliteuliwa

Dublin Film Critics' Circle

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornBest ActressAmeshinda[153]

ECHO Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaInternational NewcomerAmeshinda[154]
[155]
International Female ArtistAmeshinda
The FameInternational/National Album of the YearAliteuliwa
"Poker Face"International/National Song of the YearAmeshinda
2012Lady GagaInternational Female ArtistAliteuliwa[156]

Eleanor Roosevelt Legacy Committee

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015Lady Gaga, Cynthia Germanotta, & Born This Way FoundationEleanor's Legacy AwardAmeshinda[157]

Emma-gaala

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaForeign Artist of the YearAliteuliwa[158]
2012Ameshinda[159]

Emmy Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady Gaga Presents the Monster Ball Tour: At Madison Square GardenPrimetime Emmy Award for Outstanding Variety, Music, or Comedy SpecialAliteuliwa[160]
2015Tony Bennett and Lady Gaga: Cheek to Cheek Live!Aliteuliwa[161]
2017Super Bowl LI halftime showPrimetime Emmy Award for Outstanding Special Class ProgramAliteuliwa[162]

ESKA Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBest New ArtistAmeshinda[163]
2011Best International ArtistAmeshinda[164]

Fangoria Chainsaw Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2016American Horror Story: HotelBest TV ActressAliteuliwa[165]

Fashion Los Angeles Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2016VEditor of the YearAmeshinda[166]

FiFi Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2013FameBest New Celebrity FragranceAliteuliwa[167]

Fryderyk

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019A Star Is Born (pamoja na Bradley Cooper)Best Foreign AlbumAliteuliwa[168]

Danish GAFFA Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaInternational Female Artist of the YearAmeshinda[169]
New International Artist of the YearAliteuliwa
"Paparazzi"International Hit of the YearAliteuliwa
2011Lady GagaInternational Female Artist of the YearAliteuliwa[170]
"Born This Way"International Video of the YearAliteuliwa
2016Lady GagaInternational Female Artist of the YearAliteuliwa[171]

Norwegian GAFFA Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018"Shallow" (pamoja na Bradley Cooper)International Hit of the YearAliteuliwa[172]

Swedish GAFFA Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019"Shallow" (pamoja na Bradley Cooper)International Hit of the YearAmeshinda[173]

Georgia Film Critics Association

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015"Til It Happens to You"Best Original SongAliteuliwa[174]
2019"Shallow"Ameshinda[175]
A Star Is BornBreakthrough AwardAliteuliwa
Best ActressAliteuliwa

GLAAD Media Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoRef.
2010Lady GagaOutstanding Music ArtistAmeshinda[176]
[177]
2012Ameshinda[178]
2014Aliteuliwa[179]
2017Aliteuliwastyle="text-align:center

Glamour Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2013Lady GagaWoman of the Year AwardAmeshinda[180]
2014International Musician/Solo ArtistAliteuliwa[181]

Global Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019Lady GagaBest FemaleAliteuliwa[182]
Mass Appeal AwardAmeshinda
"Shallow" (pamoja na Bradley Cooper)Best SongAliteuliwa

Gold Derby Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2016"Til It Happens To You"Best Original SongAliteuliwa[183]
2019"Shallow"Ameshinda[184]
A Star Is BornGold Derby Award for Best ActressAliteuliwa
Best EnsembleAliteuliwa

Golden Globe Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2012"Hello Hello"Golden Globe Award for Best Original SongAliteuliwa[185]
2016American Horror Story: HotelGolden Globe Award for Best Actress – Miniseries or Television FilmAmeshinda[186]
2019A Star Is BornGolden Globe Award for Best Actress in a Motion Picture – DramaAliteuliwa[187]
"Shallow"Best Original SongAmeshinda

Golden Raspberry Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2013Machete KillsGolden Raspberry Award for Worst Supporting ActressAliteuliwa[188]

Gracie Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2012Lady Gaga: Inside the OutsideOutstanding DocumentaryAmeshinda[189]

Grammy Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Just Dance" (pamoja na Colby O'Donis)Grammy Award for Best Dance RecordingAliteuliwa[190]
2010The FameGrammy Award for Album of the YearAliteuliwa[191]
Grammy Award for Best Electronic/Dance AlbumAmeshinda
"Poker Face"[[Grammy Award for Record of the YearAliteuliwa
Grammy Award for Song of the YearAliteuliwa
Best Dance RecordingAmeshinda
2011The Fame MonsterAlbum of the YearAliteuliwa[192]
Grammy Award for Best Pop Vocal AlbumAmeshinda
"Bad Romance"Grammy Award for Best Female Pop Vocal PerformanceAmeshinda
Grammy Award for Best Short Form Music VideoAmeshinda
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Grammy Award for Best Pop Collaboration with VocalsAliteuliwa
"Dance in the Dark"Best Dance RecordingAliteuliwa
2012Born This WayAlbum of the YearAliteuliwa[193]
Best Pop Vocal AlbumAliteuliwa
"You and I"Grammy Award for Best Pop Solo PerformanceAliteuliwa
2015Cheek to Cheek (pamoja na Tony Bennett)Grammy Award for Best Traditional Pop Vocal AlbumAmeshinda[194]
2016"Til It Happens to You"Grammy Award for Best Song Written for Visual MediaAliteuliwa[195]
2018JoanneBest Pop Vocal AlbumAliteuliwa[196]
"Million Reasons"Best Pop Solo PerformanceAliteuliwa
2019"Shallow" (pamoja na Bradley Cooper)Record of the YearAliteuliwa[197]
Song of the YearAliteuliwa
Best Pop Duo/Group PerformanceAmeshinda
Best Song Written for Visual MediaAmeshinda
"Joanne"Best Pop Solo PerformanceAmeshinda

Guinness World Records

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009"Just Dance" (pamoja na Colby O'Donis), "Poker Face", "Paparazzi", "LoveGame" and "Bad Romance"Most Cumulative Weeks on the UK Singles Chart in One YearAmeshinda[198]
[199]
Lady GagaMost Downloaded Female Act in a Year in USAAmeshinda
2010"Poker Face"Most Weeks on US Hot Digital Songs ChartAmeshinda[200]
[201]
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Most Product Placement in a VideoAmeshinda
2011"Born This Way"Fastest-Selling Single on iTunesAmeshinda[202]
[203]
The FameBest-Selling Digital Album in United KingdomAmeshinda
Lady GagaMost Searched-For Female on the InternetAmeshinda
Largest Gathering of Lady Gaga ImpersonatorsAmeshinda
Most Followers on TwitterAmeshinda
2013Born This WayFastest-Selling US Digital AlbumAmeshinda[204]
2014Lady GagaMost Followed Female Pop Singer on TwitterAmeshinda[205]
2015The Most Powerful PopstarAmeshinda[206]

Hollywood Music in Media Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015"Til It Happens to You"Song – DocumentaryAmeshinda[207]
2017Gaga: Five Foot TwoMusic Documentary / Special ProgramAliteuliwa[208]
2018A Star Is BornBest Soundtrack AlbumAliteuliwa[209]
"Shallow"Best Original Song – Feature FilmAmeshinda

Houston Film Critics Society

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019A Star Is BornHouston Film Critics Society Award for Best ActressAliteuliwa[210]
"Shallow"Best Original SongAmeshinda

iHeartRadio Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2014Little Monsters – Lady GagaBest Fan ArmyAliteuliwa[211]
2016"Til It Happens to You"Best Song from a MovieAmeshinda[212]
Lady GagaBiggest Triple ThreatAliteuliwa
2017Little Monsters – Lady GagaBest Fan ArmyAliteuliwa[213]
2019"Your Song"Best Cover SongAliteuliwa[214]
AsiaCutest Musician's PetAliteuliwa
"I'll Never Love Again"Song That Left Us ShookAmeshinda

International Dance Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBreakthrough Solo ArtistAmeshinda[215]
"Just Dance" (pamoja na Colby O'Donis)Best Pop Dance TrackAmeshinda
Best Music VideoAliteuliwa
2010Lady GagaBest Solo ArtistAmeshinda[216]
The Fame MonsterBest AlbumAliteuliwa
"Bad Romance"Best Music VideoAmeshinda
Best Pop Dance TrackAliteuliwa
2011Lady GagaBest Solo ArtistAmeshinda[217]
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Best Music VideoAliteuliwa
"Alejandro"Best Pop Dance TrackAmeshinda
2012Lady GagaBest Solo ArtistAliteuliwa[218]
"Judas"Best Music VideoAliteuliwa
"Born This Way"Best Pop Dance TrackAliteuliwa
2014Lady GagaBest Solo ArtistAliteuliwa[219]
"Applause"Best Music VideoAliteuliwa

Jane Ortner Education Award

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2016Lady GagaJane Ortner Artist AwardAmeshinda[220]

Japan Gold Disc Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaBest New Artist InternationalAmeshinda[221]
Best New ArtistAmeshinda
2011International Artist of the YearAmeshinda[222]
2012Ameshinda[223]
Born This WayAlbum of the YearAmeshinda
Western Album of the YearAmeshinda
"Born This Way"Song of the YearAmeshinda
2013Lady Gaga Presents the Monster Ball Tour: At Madison Square GardenBest Music VideoAmeshinda[224]
2014ArtpopBest International AlbumAmeshinda[225]
2015Cheek to Cheek (pamoja na Tony Bennett)Jazz Album of the YearAmeshinda[226]

Juno Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2012Born This WayJuno Award for International Album of the YearAliteuliwa[227]

LennonOno Grant for Peace

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2012Lady GagaLennon Ono Grant for Peace AwardAmeshinda[228]

Little Kids Rock Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaBig Man of the YearAmeshinda[229]

Los Angeles Italia Film, Fashion and Art Fest

{Marejeo|-!scope="row"|2016|"Til It Happens to You"|Song of the Year|style="background: #99FF99; color: black; vertical-align: middle; text-align: center; " class="yes table-yes2"|Ameshinda|style="text-align:center;"|[230]|}

Los Angeles Online Film Critics Society

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornBest ActressAliteuliwa[231]
[232]
Best Breakthrough PerformanceAliteuliwa
"Shallow"Best Original SongAmeshinda

Los Premios 40 Principales

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009"Poker Face"Best International SongAliteuliwa[233]
2010"Bad Romance"Ameshinda[234]
Lady GagaBest International ArtistAmeshinda

Meteor Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaBest International FemaleAmeshinda[235]
The Fame MonsterBest International AlbumAliteuliwa

Miss Gay America

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2017Lady GagaThe Honorary Miss Gay AmericaAmeshinda[236]

MOBO Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBest International ActAliteuliwa[237]

Los Premios MTV Latinoamérica

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBest Pop Artist InternationalAliteuliwa[238]
Best New Artist InternationalAmeshinda
"Poker Face"Song of the YearAmeshinda
Best RingtoneAliteuliwa

MTV Australia Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBreakthrough ArtistAliteuliwa[239]
[240]
"Poker Face"Best VideoAliteuliwa

MTV Europe Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaMTV Europe Music Award for Best New ActAmeshinda[241]
MTV Europe Music Award for Best FemaleAliteuliwa
MTV Europe Music Award for Best World Stage PerformanceAliteuliwa
MTV Europe Music Award for Best Live ActAliteuliwa
"Poker Face"MTV Europe Music Award for Best SongAliteuliwa
2010Lady GagaBest FemaleAmeshinda[242]
Best Live ActAliteuliwa
MTV Europe Music Award for Best PopAmeshinda
"Bad Romance"Best SongAmeshinda
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)MTV Europe Music Award for Best VideoAliteuliwa
2011Lady GagaBest FemaleAmeshinda[243]
Best Live ActAliteuliwa
MTV Europe Music Award for Best North American ActAliteuliwa
Best PopAliteuliwa
MTV Europe Music Award for Biggest FansAmeshinda
"Born This Way"Best SongAmeshinda
Best VideoAmeshinda
2012Lady GagaBest Live ActAliteuliwa[244]
"Marry the Night"Best VideoAliteuliwa
Lady GagaBiggest FansAliteuliwa
2013Lady GagaBest FemaleAliteuliwa[245]
MTV Europe Music Award for Best LookAliteuliwa
Biggest FansAliteuliwa
"Applause"Best VideoAliteuliwa
2015Lady Gaga & Tony BennettBest Live ActAliteuliwa[246]
2016Lady GagaBest FemaleAmeshinda[247]
Best LookAmeshinda
Biggest FansAliteuliwa

MTV Italian Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaMy First Lady AwardAliteuliwa[248]
TRL Award for Best LookAliteuliwa
2011Wonder Woman AwardAmeshinda[249]
Best LookAliteuliwa
Too Much AwardAliteuliwa
2012Wonder Woman AwardAliteuliwa[250]
Best LookAliteuliwa
2015Best FanAliteuliwa[251]
[252]
MTV Awards StarAmeshinda
2016Artist SagaAliteuliwa[253]
[254]
[255]
Best LookAliteuliwa
MTV Awards StarAliteuliwa
2017Best International FemaleAliteuliwa[256]
[257]
Artist SagaAliteuliwa

MTV Millennial Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2017"Perfect Illusion"International Hit of the YearAmeshinda[258]
Lady GagaAgente de CambioAmeshinda[259]

MTV Movie & TV Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2017"Lady Gaga Carpool Karaoke" — The Late Late Show with James CordenTrendingAliteuliwa[260]
2018Gaga: Five Foot TwoBest Music DocumentaryAmeshinda[261]

MTV Video Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaMTV Video Music Award for Best New ArtistAmeshinda[262]
[263]
"Poker Face"MTV Video Music Award for Video of the YearAliteuliwa
MTV Video Music Award for Best Female VideoAliteuliwa
MTV Video Music Award for Best Pop VideoAliteuliwa
"Paparazzi"MTV Video Music Award for Best DirectionAliteuliwa
MTV Video Music Award for Best EditingAliteuliwa
MTV Video Music Award for Best Special EffectsAmeshinda
MTV Video Music Award for Best CinematographyAliteuliwa
MTV Video Music Award for Best Art DirectionAmeshinda
2010"Bad Romance"Video of the YearAmeshinda[264]
Best Female VideoAmeshinda
Best Pop VideoAmeshinda
MTV Video Music Award for Best Dance VideoAmeshinda
Best Art DirectionAliteuliwa
MTV Video Music Award for Best ChoreographyAmeshinda
Best CinematographyAliteuliwa
Best DirectionAmeshinda
Best EditingAmeshinda
Best Special EffectsAliteuliwa
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Video of the YearAliteuliwa
MTV Video Music Award for Best CollaborationAmeshinda
Best ChoreographyAliteuliwa
2011"Born This Way"Best Female VideoAmeshinda[265]
MTV Video Music Award for Best Video with a MessageAmeshinda
"Judas"Best ChoreographyAliteuliwa
Best Art DirectionAliteuliwa

MTV Video Music Awards Japan

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010"Poker Face"MTV Video Music Award Japan for Video of the YearAliteuliwa[266]
MTV Video Music Award Japan for Best Female VideoAliteuliwa
MTV Video Music Award Japan for Best Dance VideoAmeshinda
MTV Video Music Award Japan for Best Karaokee! SongAliteuliwa
"Video Phone"MTV Video Music Award Japan for Best CollaborationAliteuliwa
2011"Born This Way"Video of the YearAmeshinda[267]
Best Dance VideoAmeshinda
Best Female VideoAmeshinda
2012Born This WayMTV Video Music Award Japan for Album of the YearAliteuliwa[268]
"You and I"Video of the YearAliteuliwa
"Judas"Best Karaoke SongAliteuliwa
2014"Applause"Video of the YearAliteuliwa[269]
[270]
Best Pop VideoAmeshinda

MTV Video Music Brazil

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBest International ArtistAliteuliwa[271]
2010Aliteuliwa[272]
2011Ameshinda[273]

MuchMusic Video Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009"Poker Face"International Video of the Year — ArtistAmeshinda[274]
UR Fave International ArtistAliteuliwa
2010"Telephone" (pamoja na Beyoncé)International Video of the Year — ArtistAliteuliwa[275]
UR Fave International ArtistAliteuliwa
2011"Judas"International Video of the Year — ArtistAmeshinda[276]
"Born This Way"UR Fave International ArtistAmeshinda
"Alejandro"Most Streamed Video of the YearAliteuliwa
2012"Marry the Night"International Video of the Year — ArtistAliteuliwa[277]
2017Lady GagaMost Buzzworthy International Artist or GroupAliteuliwastyle="text-align:center

MYX Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Favorite International VideoAliteuliwa[278]
2012"Born This Way"Aliteuliwa[279]

National Arts Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015Lady GagaYoung Artist AwardAmeshinda[280]

National Board of Review Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornNational Board of Review Award for Best ActressAmeshinda

National Magazine Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015Harper's Bazaar, Machi 2014, Lady GagaFashion and BeautyAmeshinda[281]

NewNowNext Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaAlways Next, Forever Now AwardAmeshinda[282]
2013Born This Way FoundationMost Innovative Charity of the YearAmeshinda[283]

Nickelodeon Australian Kids' Choice Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Favorite SongAliteuliwa[284]
2011Lady GagaFavorite Female SingerAliteuliwa[285]

Nickelodeon Kid's Choice Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaFavorite Female SingerAliteuliwa[286]
"Paparazzi"Favorite SongAliteuliwa
012Lady GagaFavorite Female SingerAliteuliwa[287]
"Born This Way"Favorite SongAliteuliwa
2014Lady GagaFavorite Female SingerAliteuliwa[288]

NME Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaBest DressedAmeshinda[289]
Worst DressedAmeshinda
Solo ArtistAliteuliwa
"Poker Face"Best Dancefloor FillerAliteuliwa
2011Lady GagaMost StylishAliteuliwa[290]
Hero of the YearAmeshinda
Hottest WomanAmeshinda
2012Best Band Blog or TwitterAmeshinda[291]
2017Best International FemaleAliteuliwa[292]
[293]
2018Lady Gaga at the Super BowlMusical Moment of the YearAliteuliwa[294]
[295]
Gaga: Five Foot TwoBest Music FilmAmeshinda

NRJ Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaInternational Breakthrough of the YearAmeshinda[296]
The FameInternational Album of the YearAliteuliwa
"Poker Face"International Song of the YearAliteuliwa
2011Lady GagaInternational Female Artist of the YearAliteuliwa[297]
Live Act of the YearAliteuliwa
"Bad Romance"International Song of the YearAliteuliwa
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)International Band/Collaboration/Company of the YearAliteuliwa
Music Video of the YearAmeshinda
2012"Born This Way"Aliteuliwa[298]
2016Lady GagaInternational Female Artist of the YearAliteuliwa[299]
NRJ Radio Artist AwardAmeshinda

O Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaInnovative ArtistAmeshinda[300]
[301]
Must Follow Artist on TwitterAmeshinda
Favorite Animated GIFAliteuliwa
Fan Army FTWAliteuliwa

Online Film Critics Society

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019A Star Is BornOnline Film Critics Society Award for Best ActressAliteuliwa[302]

Patron of the Artists Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018Lady GagaArtists Inspiration AwardAmeshinda[303]

People's Choice Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaPeople's Choice Award for Favorite Breakout ArtistAmeshinda[304]
Favorite Pop ArtistAmeshinda
2011People's Choice Award for Favorite Female ArtistAliteuliwa[305]
Favorite Pop ArtistAliteuliwa
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Favorite Music VideoAliteuliwa
Favorite SongAliteuliwa
2012Lady GagaFavorite Female ArtistAliteuliwa[306]
Favorite Pop ArtistAliteuliwa
Born This WayFavorite Album of The YearAmeshinda
"The Edge of Glory"Favorite SongAliteuliwa
"Judas"Favorite Music VideoAliteuliwa
2014Little MonstersFavorite Music Fan FollowingAliteuliwa[307]
2016American Horror Story: HotelFavorite Sci-Fi/Fantasy TV ActressAliteuliwa[308]
2017Lady GagaFavorite Social Media CelebrityAliteuliwa[309]

Pollstar Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaBest New Touring ArtistAliteuliwa[310]
2011The Monster BallMajor Tour of the YearAliteuliwa[311]
Most Creative Stage ProductionAliteuliwa
2012Major Tour of the YearAmeshinda[312]
Most Creative Stage ProductionAliteuliwa
2013Born This Way BallAliteuliwa[313]
2018Joanne World TourPop Tour of the YearAliteuliwa[314]

Premios Oye!

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaEnglish Breakthrough of the YearAmeshinda[315]
The FameEnglish Album of the YearAmeshinda
"Poker Face"English Record of the YearAmeshinda
2010The Fame MonsterEnglish Album of the YearAmeshinda[316]
"Bad Romance"English Record of the YearAliteuliwa
"Alejandro"Aliteuliwa
2012Born This WayEnglish Album of the YearAliteuliwa[317]

Q Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBreakthrough ArtistAliteuliwa[318]
"Just Dance" (pamoja na Colby O'Donis)Best VideoAmeshinda
2010Lady GagaBest FemaleAliteuliwa[319]
Best Live ActAliteuliwa
2011"Judas"Best VideoAliteuliwa[320]
2012Lady GagaBest Act In The World TodayAliteuliwa[321]

Radio Disney Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2017Lady GagaBest Female ArtistAliteuliwa[322]

Rockbjörnen

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaConcert of the YearAliteuliwa[323]
"Bad Romance"Foreign Song of the YearAliteuliwa
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Aliteuliwa
"Alejandro"Aliteuliwa
2011"Born This Way"Ameshinda[324]

San Diego Film Critics Society

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornSan Diego Film Critics Society Award for Best ActressAliteuliwa[325]

San Francisco Film Critics Circle

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018San Francisco Film Critics Circle Award for Best ActressAliteuliwa[326]

Satellite Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011"Hello Hello"Satellite Award for Best Original SongAliteuliwa[327]
2016"Til It Happens to You"Ameshinda[328]
American Horror Story: HotelSatellite Award for Best Actress – Television Series DramaAliteuliwa
2019A Star Is BornSatellite Award for Best Actress – Motion PictureAliteuliwa[329]
"Shallow"Best Original SongAmeshinda

Screen Actors Guild Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2019A Star Is BornScreen Actors Guild Award for Outstanding Performance by a Female Actor in a Leading RoleAliteuliwa[330]
Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by a Cast in a Motion PictureAliteuliwa

Seattle Film Critics Society

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornBest ActressAliteuliwa[331]

Servicemembers Legal Defense Network

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaRandy Shilts Visibility AwardAmeshinda[332]

Shorty Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2014Lady GagaGreen – Global IssuesAliteuliwa[333]
Art – Arts & DesignAliteuliwa
2017Celebrity - EntertainmentAliteuliwa[334]
2019Innovator of the Year – Tech & Innovation[335]

Songwriters Hall of Fame

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015Lady GagaSongwriters Hall of Fame#Contemporary Icon AwardAmeshinda[336]

Space Shower Music Video Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010"Paparazzi"Best International VideoAmeshinda[337]
2011"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Aliteuliwa[338]

St. Louis Film Critics Association

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2015"Til It Happens to You"Best SongAliteuliwa[339]
2018A Star Is BornSt. Louis Gateway Film Critics Association Award for Best ActressKigezo:Draw[340]
Best SoundtrackAliteuliwa

Stonewall Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaHero of the YearAliteuliwa[341]

Swiss Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010"Poker Face"Best International SongAmeshinda[342]

TEC Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2012Born This Way Ball TourTour Sound ProductionAliteuliwa[343]
2015"Anything Goes" (pamoja na Tony Bennett)Record Production – Single or TrackAliteuliwa[344]
2018Super Bowl LI Halftime Show Starring Lady GagaRemote Production – Recording or BroadcastAliteuliwa[345]

Teen Choice Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaTeen Choice Award for Choice Music - Female ArtistAliteuliwa[346]
Choice Music: Breakout ArtistAliteuliwa
Choice Celebrity DancerAliteuliwa
The FameAlbum (Female Artist)Aliteuliwa
"Just Dance" (pamoja na Colby O'Donis)Teen Choice Award for Choice Music - CollaborationAmeshinda
"Poker Face"Teen Choice Award for Choice Music - SingleAliteuliwa
2010Lady GagaChoice Music: Female ArtistAmeshinda[347]
Choice Red Carpet Fashion Icon — FemaleAliteuliwa
Teen Choice Award for Choice Summer Music Star: FemaleAmeshinda
The Fame MonsterChoice Music: Album — PopAliteuliwa
"Bad Romance"Choice Music: SingleAliteuliwa
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Choice Music: Hook UpAliteuliwa
"Alejandro"Choice Summer: SongAliteuliwa
2011Lady GagaChoice Music: Female ArtistAliteuliwa[348]
Choice Red Carpet Fashion Icon — FemaleAliteuliwa
"Born This Way"Choice Music: SingleAliteuliwa
2013Lady GagaChoice Other: Twitter PersonalityAliteuliwa[349]
2014Choice Social Media QueenAliteuliwa[350]
2015Choice TwitAliteuliwa[351]
Little MonstersChoice FandomAliteuliwa
2016Lady GagaChoice Social Media QueenAliteuliwa[352]
Choice TwitAliteuliwa
Choice Selfie TakerAliteuliwa

Telehit Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009"Poker Face"Song of the YearAmeshinda[353]
2010"Telephone"Video of the YearAmeshinda[354]
The Fame MonsterInternational Album of the YearAmeshinda

The Record of the Year

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009"Poker Face"The Record of the YearAmeshinda[355]
2010"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Kigezo:Draw[355]
2011"Born This Way"Ameshinda[356]

The Trevor Project Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2011Lady GagaTrevor Hero AwardAmeshinda[357]

TMF Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009Lady GagaBest New Artist – InternationalAmeshinda[358]
Best Female Artist – InternationalAmeshinda
Best Pop – InternationalAmeshinda

UK Music Video Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2009"Paparazzi"Best International VideoAmeshinda[359]
2010"Bad Romance"Ameshinda[360]
"Telephone" (pamoja na Beyoncé)Aliteuliwa

Washington D.C. Area Film Critics Association

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornWashington D.C. Area Film Critics Association Award for Best ActressAmeshinda[361]

Webby Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2013Gaga's WorkshopCelebrity/FanAmeshinda[362]
2016Leo Side-eyeGIF of the YearAliteuliwa[363]
2017The Lady Gaga + Intel PerformanceLive Experiences (Branded) in Film & VideoAmeshinda[364]
Integrated Campaign (Film & Video)Ameshinda
Branded Content (Advertising, Media & PR)Ameshinda
Bud Light × Lady Gaga Dive Bar TourBest Use of Social MediaAliteuliwa
2018Gaga: Five Foot TwoMusic (Film and Video)Ameshinda[365]
[366]
Best Editing (Film and Video)Ameshinda
Intel × Super Bowl Halftime ShowBest Event Activation (Advertising, Marketing & PR)Ameshinda
2019Lady Gaga explains why Donatella Versace is an iconFashion & Beauty (Video)[367]
[368]
"Shallow"Music Video (Video)

Women Film Critics Circle

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2018A Star Is BornBest Screen Couple
(pamoja na Bradley Cooper)
Aliteuliwa[369]

World Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2010Lady GagaWorld's Best Pop/Rock ArtistAmeshinda[370]
World's Best New ArtistAmeshinda
Best Selling Artist of AmericaAmeshinda
The FameWorld's Best Album of the YearAmeshinda
"Poker Face"World's Best Song of the YearAmeshinda
2014Lady GagaWorld's Best Female ArtistAliteuliwa[371]
World's Best Female Live ActAmeshinda
World's Best Entertainer by a FemaleAmeshinda
World's Best FanbaseAliteuliwa
ArtpopWorld's Best Album by a FemaleAmeshinda
Born This WayAliteuliwa
"Applause"World's Best Song by a FemaleAmeshinda
World's Best VideoAliteuliwa
"Do What U Want" (pamoja na R. Kelly)World's Best SongAliteuliwa
"G.U.Y."Aliteuliwa
World's Best VideoAliteuliwa
"Marry the Night"World's Best SongAliteuliwa
World's Best VideoAliteuliwa
"The Lady is a Tramp" (pamoja na Tony Bennett)World's Best SongAliteuliwa
World's Best VideoAliteuliwa

YouTube Music Awards

MwakaKazi iliyoteuliwaTuzoMatokeoMarejeo
2013"Applause"Video of the YearAliteuliwa[372]
2015Lady Gaga50 Artists to WatchAmeshinda[373]

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Lady Gaga katika Allmusic