Luzon
Luzon ni kisiwa kikubwa zaidi katika Ufilipino. Iko kaskazini mwa nchi. Mji mkuu wa Manila uko Luzon, pamoja jiji la Quezon ambalo ni jiji kubwa nchini [1].
Eneo la Luzon ni kilomita za mraba 108,172 na idadi ya wakazi ni zaidi ya milioni 48.
Marejeo
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Luzon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz