Saba (kisiwa)
Saba ni kisiwa cha bahari ya Karibi (Amerika ya Kati). Kwa kiasi kikubwa kinaundwa na volkeno inayoweza bado kulipuka. Urefu wake ni mita 887.
Ni sehemu ya pekee ya Uholanzi.[1]
Eneo lake, pamoja na kisiwa kidogo cha jirani (Green Islet), ni kilometa mraba 13 tu.
Wakazi wa kudumu ni 1,991. Wengi wao ni machotara, ni Wakristo wa Kanisa Katoliki na huongea hasa Kiingereza, ingawa Kiholanzi ndicho lugha rasmi.
Makao makuu ni The Bottom.
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Island Government of Saba homepage
- Saba's Tourist Bureau homepage
- Saba's online newspaper with local information
- Saba Conservation Foundation's homepage
- Saba (N.A.): Bos en nationale parken. 54pp. Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saba (kisiwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz