Tbilisi
[[Picha:Georgia Tbilisi map.PNG|thumb|right|Mahali pa Tbilisi nchini Georgia.]
Tbilisi (pia: Tiflis; kwa Kigeorgia: თბილისი) ni mji mkuu wa Georgia. Iko kando ya mto Kura (Mtkvari) kwa 41°43′N 44°47′E kwenye kimo cha m 380 hadi 727 juu ya UB.
Picha
- Mandhari
- Abanotubani
- Barabara ya Aghmashenebeli
- Uwanja wa Uhuru
- Mto Mtkwari
- Kanisa la Metekhi
- Kanisa kuu kwa ndani
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tbilisi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz