16 Juni

tarehe
Mei - Juni - Jul
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 16 Juni ni siku ya 167 ya mwaka (ya 168 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 198.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Julita na Kwiriko, Fereoli na Ferusi, Similiani, Tikoni wa Limassol, Aureo, Justina na wenzao, Aureliano wa Arles, Sekardo, Beno wa Meissen, Lutgarda, Dominiko Nguyen, Dominiko Nhi, Dominiko Mao, Visenti Tuong, Andrea Tuong n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 16 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.