Mei

mwezi wa tano katika mwaka
Apr - Mei - Jun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Mwezi wa Mei ni mwezi wa tano katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la mungu wa Warumi Maia.

Mei ina siku 31, na hakuna mwezi mwingine unaoanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Mei katika mwaka uleule.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: