1 Juni

tarehe
Mei - Juni - Jul
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 1 Juni ni siku ya 152 ya mwaka (ya 153 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 213.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yustino mfiadini, Karitoni na wenzake, Amoni, Zeno na wenzao, Sahiruni na wenzake, Prokolo wa Bologna, Fortunati wa Montefalco, Kaprasi wa Lerins, Floro wa Clermont, Ronano, Wistani, Simeoni wa Siracusa, Eneko wa Onya, Yosefu Tuc, Yohane Mbatizaji Scalabrini, Anibale Maria di Francia n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 1 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.