2 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Januari ni siku ya pili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 363 (364 katika miaka mirefu).
Matukio
Waliozaliwa
- 869 - Yozei, mfalme mkuu wa Japani (884-887)
- 1837 - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1909 - Barry Goldwater, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1967 - Tia Carrere, mwigizaji wa filamu kutoka Hawaii
- 1988 - Ruth Bosibori, mwanariadha kutoka Kenya
Waliofariki
Sikukuu
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu Basili Mkuu na Gregori wa Nazienzi, lakini pia za watakatifu Papa Telesforo, Arjeo, Narsisi na Marselino, Teodoro wa Marseille, Bladolfo, Yohane Bono, Visensiani, Mainchin, Adalardo wa Corbie, Airaldo, Silvesta wa Troina n.k.
- Waorthodoksi wanaadhimisha sikukuu ya mtakatifu Serafino wa Sarov
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz