23 Januari

tarehe
Des - Januari - Feb
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 23 Januari ni siku ya ishirini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 342 (343 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Severianus na Akwila, Emerensyana wa Roma, Klementi na Agatanjelo, Amasio wa Teano, Ildefonso wa Toledo, Maimbodo, Andrea Chong Hwagyong, Mariana wa Molokai n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 23 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.