6 Novemba

tarehe
Okt - Novemba - Des
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 6 Novemba ni siku ya 310 ya mwaka (ya 311 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 55.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi wa Toniza, Paulo I wa Konstantinopoli, Melani wa Rennes, Leonardi wa Limoges, Kaliniko na wenzake, Severo wa Barcelona, Winoko, Nuno Alvares n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 6 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.