17 Novemba

tarehe
Okt - Novemba - Des
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Novemba ni siku ya 321 ya mwaka (ya 322 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 44.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elizabeti wa Hungaria, Gregori mtendamiujiza, Alfayo na Zakayo, Asisklo, Aniani wa Orleans, Gregori wa Tours, Lazaro wa Konstantinopoli, Hugo wa Lincoln, Yohane wa Castillo, Jordano Ansalone, Thoma Hioji n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.