27 Aprili

tarehe
Mac - Aprili - Mei
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 27 Aprili ni siku ya 117 ya mwaka (ya 118 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 248.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Simeoni I wa Yerusalemu, Polioni, Theodori wa Tabennese, Liberali wa Altino, Meugan, Yohane wa Afusia, Zita wa Lucca, Pere Ermengol, Laurenti Nguyen Van Huong n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 27 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.