20 Aprili

tarehe
Mac - Aprili - Mei
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 20 Aprili ni siku ya 110 ya mwaka (ya 111 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 255.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Anicetus, Sulpisi na Servisyani, Sekondini wa Kordoba, Marselino wa Embrun, Mariano wa Auxerre, Theodoro Trikinas, Anastasi II wa Antiokia, Eliena, Wiho, Anyesi wa Montepulciano n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 20 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.