Borussia Dortmund
Borussia Dortmund ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Ujerumani. Ni klabu ya michezo ya kitaalamu ya Ujerumani iliyoko jiji la Dortmund,Inajulikana zaidi kwa timu yake ya mpira wa miguu ya wanaume, ambayo inacheza katika Bundesliga. Klabu hiyo imeshinda michuano minane ya ligi, makombe matano ya DFB-Pokals, kombe moja la Ligi ya mabingwa barani Ulaya UEFA, Kombe moja la mabara(International club cup), na Kombe la Washindi wa UEFA Cup.[1]Rangi za Borussia Dortmund ni nyeusi na njano.[2]
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Borussia Dortmund kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz