Colombo
Colombo ni mji mkubwa wa Sri Lanka wenye wakazi 647,100 (2001).[1] Ilikuwa mji mkuu wa nchi hii tangu mwaka 1814 mpaka mwaka 1978.
Colombo | |
Mahali pa mji wa Colombo katika Sri Lanka | |
Majiranukta: 6°56′04″N 79°50′34″E / 6.93444°N 79.84278°E | |
Nchi | Sri Lanka |
---|---|
Mkoa | Sri Lanka Magharibi |
Wilaya | Wilaya ya Colombo |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 647,100 |
Tovuti: www.cmc.lk |
Asili ya jina ni neno la Kisinhala "Kolamba" linalomaanisha bandari.
Marejeo
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Colombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz