Eva
Eva ni jina la mwanamke wa kwanza kadiri ya Biblia. Maana yake inafikiriwa kuhusiana na uhai: mama wa walio hai.
Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu tarehe 24 Desemba[1].
Umaarufu wake umeongezeka tena hivi karibuni, baada ya upimaji wa DNA ya mviringo kuthibitisha kwamba binadamu wote wanatokana na mama mmoja.
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eva kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz