Kodivaa
Kodivaa (Kifaransa: Côte d'Ivoire; Kiingereza: Ivory Coast) ni nchi ya Afrika ya Magharibi.
Jamhuri ya Kodivaa | |
---|---|
République de Côte d'Ivoire (Kifaransa) | |
Kaulimbiu ya taifa: Union – Discipline – Travail (Kifaransa) "Umoja– Nidhamu – Kazi" | |
Wimbo wa taifa: L'Abidjanaise "Wimbo wa Abidjan" | |
Mahali pa Kodivaa | |
Ramani ya Kodivaa | |
Mji mkuu | Yamoussoukro |
Mji mkubwa nchini | Abidjan |
Lugha rasmi | Kifaransa |
Imepakana na Liberia na Guinea upande wa magharibi, Mali na Burkina Faso kaskazini, Ghana mashariki na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki upande wa kusini.
Historia
Baada ya uhuru (7 Agosti 1960) iliwahi kuwa kati ya nchi tajiri zaidi za Afrika lakini tangu mwaka 2002 uchumi na hali ya maisha kwa jumla vimeharibika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe (2002-2011).
Watu
Wakazi walikadiriwa kuwa 29,344,847 mwaka 2023, lakini sensa ya mwaka huo ilihesabu idadi ndogo zaidi: 29,389,150.
Kabila kubwa ni lile la Waakan (38%). Asilimia 22% ni wahamiaji, hasa kutoka nchi jirani (Liberia, Burkina Faso na Guinea). Asilimia 4 wana asili tofauti, hasa Ufaransa, Lebanoni, Vietnam na Hispania.
Lugha zinazotumika kawaida ni 68, lakini lugha rasmi ni Kifaransa.
Upande wa dini, Uislamu una 42.5%, Ukristo 39.8% (Kanisa Katoliki peke yake 24.9%), dini asilia za Kiafrika 2.2% na dini nyingine 0.5%. Wasio na dini ni 12.6%
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
- Cote d'Ivoire entry at The World Factbook
- Kodivaa katika Open Directory Project
- Wikimedia Atlas of Côte d'Ivoire
Serikali
- Official website of the Government of Ivory Coast (Kifaransa)
- Embassy of Côte d'Ivoire in Japan Archived 1 Julai 2006 at the Wayback Machine. Government information and links
Habari
- allAfrica - Côte d'Ivoire News headline links
- Abidjan.Net News forums links
Overviews
- BBC News - Country Profile: Ivory Coast
- CIA World Factbook - Côte d'Ivoire Archived 15 Juni 2006 at the Wayback Machine.
- Library of Congress Country Study - Ivory Coast data as of Novemba 1988
Biashara
Orodha
- The Index on Africa - Côte d'Ivoire Archived 15 Oktoba 2008 at the Wayback Machine. directory category
- Open Directory Project - Côte d'Ivoire Archived 20 Novemba 2010 at the Wayback Machine. directory category
- Stanford University - Africa South of the Sahara: Côte d'Ivoire - Ivory Coast directory category
- University of Pennsylvania - African Studies Center: Côte d'Ivoire directory category
- Yahoo! - Côte d'Ivoire Archived 20 Januari 2009 at the Wayback Machine. directory category
Utalii
- Travel Overview of Côte d'Ivoire Archived 7 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
- Lonely Planet - Côte d'Ivoire Archived 19 Julai 2008 at the Wayback Machine.
Mengineyo
- Map of Côte d'Ivoire Archived 21 Mei 2008 at the Wayback Machine.
- (Kifaransa) Parti ivoirien du Peuple Archived 23 Januari 2012 at the Wayback Machine.
- Global Security - Ivory Coast Conflict
- Akwaba in Ivory Coast Archived 15 Januari 2009 at the Wayback Machine.
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kodivaa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |