Tuzo za Akademi


The Academy Awards (zinafahamika zaidi kama Oscars) huwakilishwa kila mwaka na kampuni ya Academy of Motion Picture Arts and Sciences (Kifupi: AMPAS) kwa lengo la kutambulisha taaluma ya tasnia ya filamu, wakiwemo waongozaji, waigizaji, na watunzi wa filamu.

Academy Awards
Tuzo hutolewa kwa ajili yaKufanya vizuri katika filamu, mafanikio
Huwakilishwa naAcademy of Motion Picture Arts and Sciences
NchiMarekani
Tuzo ya kwanza 16 Mei 1929
Tovuti RasmiAcademy Awards

Rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali.Pia inasemekana kuwa ni miuongoni mwa sherehe mashughuli zaidi na inatizamwa sana duniani mara tu sherehe hizo zinapoanza.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo za Akademi kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.