Zaragoza

Zaragoza (matamshi ya Kihispania: θaɾaˈɣoθa; pia: Saragossa[1] kwa Kiingereza[2]) ni mji wa Hispania, makao makuu ya Mkoa wa Zaragoza na ya jumuia ya kujitegemea ya Aragon.

Mji wa Zaragoza

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 706,904,[3] katika eneo la km² 1062.64, ukiwa wa tano nchini kwa wingi wa watu, na wa 32 katika Umoja wa Ulaya.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Zaragoza travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zaragoza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.