1919
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |Karne ya 19 |Karne ya 20| Karne ya 21
◄ |Miaka ya 1880 |Miaka ya 1890 |Miaka ya 1900 |Miaka ya 1910| Miaka ya 1920| Miaka ya 1930| Miaka ya 1940| ►
◄◄ |◄ |1915 |1916 |1917 |1918 |1919| 1920| 1921| 1922| 1923| ►| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1919 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
- 28 Juni - - Mkataba wa Versailles kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kati ya Ujerumani na washindi
- 19 Agosti - Nchi ya Afghanistan inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 31 Oktoba - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uturuki.
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 9 Januari - William Meredith, mshairi kutoka Marekani
- 13 Januari - Ali Muhsin al-Barwani, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 17 Machi - Nat King Cole, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1 Aprili - Joseph Murray, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1990
- 22 Aprili - Donald Cram, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 19 Juni - Placidus Gervasius Nkalanga, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 20 Julai - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand
- 25 Agosti - George Wallace, mwanasiasa kutoka Marekani
- 28 Agosti - Godfrey Hounsfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 5 Oktoba - Donald Pleasence, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 11 Oktoba - Art Blakey, mwanamuziki kutoka Marekani
- 18 Oktoba - Suzanne Bachelard, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 22 Oktoba - Doris Lessing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2007
- 9 Desemba - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 9 Desemba - William Lipscomb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1976
- 17 Desemba - Ezekiel Mphahlele, mwandishi kutoka Afrika Kusini
bila tarehe
- Noni Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
Waliofariki
- 6 Januari - Theodore Roosevelt (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906
- 22 Januari - Carl Larsson, mchoraji kutoka Uswidi
- 30 Juni - Lord Rayleigh, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1904
- 15 Julai - Hermann Emil Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1902
- 11 Oktoba - Karl Gjellerup, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917
- 15 Novemba - Alfred Werner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz