6 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Machi ni siku ya 65 ya mwaka (ya 66 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 300.
Matukio
Waliozaliwa
- 1475 - Michelangelo, msanii kutoka Italia
- 1928 - Gabriel Garcia Marquez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1982
- 1942 - Flora Purim, mwimbaji kutoka Brazil
- 1949 - Benn Haidari, mpishi wa kiZanzibar nchini Ufini
- 1968 - Moira Kelly
Waliofariki
- 1251 - Mtakatifu Rosa wa Viterbo, bikira Mfransisko kutoka Italia
- 1447 - Mtakatifu Koleta Boylet, bikira Mfransisko kutoka Ufaransa
- 1900 - Gottlieb Daimler, mhandisi kutoka Ujerumani
- 1973 - Pearl S. Buck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938
- 2005 - Hans Bethe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marsiano wa Tortona, Viktorini wa Nikomedia, Kwiriaki wa Trier, Evagri wa Konstantinopoli, Juliani wa Toledo, Fridolini, Krodegango, Wafiadini wa Amorio, Olegari, Koleta Boylet n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz