13 Septemba

tarehe
Ago - Septemba - Okt
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 13 Septemba ni siku ya 256 ya mwaka (ya 257 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 109.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Krisostomo, Juliani wa Ankara, Kutabaruku Basilika la Kaburi takatifu huko Yerusalemu, Litori wa Tours, Emiliani wa Valence, Marselino wa Karthago, Maurili, Amato wa Habend, Veneri, Amato wa Sion n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 13 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.