31 Julai

tarehe
Jun - Julai - Ago
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 31 Julai ni siku ya 212 ya mwaka (ya 213 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 153.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ignas wa Loyola, Kalimeri, Demokrito na wenzake, Fabius, Tertulino, Jermano wa Auxerre, Helena wa Uswidi, Petro Doan Cong Quy, Emanueli Le Van Phung, Justino de Jacobis n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 31 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.