Asetoni
Asetoni (kutoka Kiingereza: acetone, pia propanone) ni kampaundi ogania yenye fomula (CH3) 2CO. Inapatikana kwa umbo la kiowevu kisicho na rangi. Kinawaka haraka kikiwa ketoni sahili zaidi.
Asetoni inaweza kuchanganywa na maji. Ni kimumunyishaji muhimu, kinachotumika mara nyingi kusafisha vitu katika maabara. Matumizi ya kawaida ya asetoni nyumbani ni kama dawa ya kuyeyusha rangi au kuondoa rangi ya kucha. Inatumika katika upakiaji wa rangi ya msumari na kama rangi nyembamba. Ni dawa ya kawaida katika kemia ogania.
Tanbihi
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asetoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz