Kithai

Kithai ni lugha ya taifa na lugha rasmi ya nchini Thailand pamoja na kuwa lugha mama ya Wathai, kundi kubwa la watu nchini Thailand.

Eneo la Kithai.
Eneo la Kithai.

Karibu watu milioni 70/75 wanazungumza lugha hiyo[1].

Ni lugha muhimu zaidi kati ya lugha za Kitai, ambazo zinaunda tawi la lugha za Kra-Dai.

Alfabeti

Alfabeti ya Kithai ina herufi 44.ก ข ฃ ค ฅ ฆ ง จ ฉ ช ซ ฌ ญ ฎ ฏ ฐ ฑ ฒ ณ ด ต ถ ท ธ น บ ป ผ ฝ พ ฟ ภ ม ย ร ล ว ศ ษ ส ห ฬ อ ฮ

Lugha ya Kithai ina tarakimu zake za pekee pia: ๑ 1 ๒ 2๓ 3๔ 4๕ 5๖ 6๗ 7๘ 8๙ 9 ๐ 0

Viungo vya nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikipedia
Kithai ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

.