Kiurdu

Kiurdu (pia hujulikana kama Lashkari imeandikwa لشکری[1]) ni aina ya lugha ya Kihindi iliyosanifiwa.

Lashkari Zaban ("lugha ya kambi ya jeshi" au "Lugha ya Hordish") katika hati ya Nastaliq

Ndiyo lugha rasmi ya Pakistan na ya majimbo 6 ya India (katika nchi hiyo ni mojawapo kati ya 22 zinazokubaliwa na katiba).

Kwa kawaida kinaandikwa kwa herufi za Kiarabu kutokana na uhusiano wake na dini ya Uislamu.

Wanaokitumia kama lugha mama ni watu milioni 65.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikipedia
Kiurdu ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiurdu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.